Picha ikionyesha mbunge wa Arumeru mashariki kupitia tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo Chadema Joshua Nasari akiwa anagawa
mablangeti, mashuka na mgodoro katika shule ya sekondari usa river
baada ya ma bweni tisa kuungua na kusababishia shule hiyo hasara milioni
25
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI AGAWA MASHUKA NA MAGODORO KWA SHULE YA SEKONDARI ILIOUNGUA MOTO
bywoinde
-
0