Mkuu wa
Mkoa Amos Makalla akipiga mpira kuashiria uzinduzi wa mashindano hayo mkoani
humo
Mkuu wa Mkoa
Amos Makalla akigagua moja ya timu
Wanafunzi
kutoka shule mbalimbali walihudhuria
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla
akihutubia wadau wa michezo na wanafunzi wakati wa Uzinduzi wa mashindano ua
UMISSETA ambayo mwaka huu yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.Uzinduzi huo
ulifanyika katika uwanja wa Sokoine ambapo kulifanyika michezo mbalimbali na
burudani za kila aina zilikuwepo.
Burudani
za muziki pia zilikuwepo