Edward Ngoyayi Lowassa (amezaliwa 26 Agosti 1953) ni mwanasiasa nchini Tanzania.
Alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa kumi wa nchi hii tarehe 30 Desemba 2005
na akalazimishwa kujiuzulu tarehe 7 Februari 2008 kwa kutajwa katika
kamati ya bunge ya uchunguzi wa ufisadi katika utoaji wa tenda kwa
kampuni ya umeme ya Richmond kama mhusika mkuu.
Lowassa ni mwenyeji na mbunge wa Monduli katika Mkoa wa Arusha. Alisoma
shahada ya kwanza katika mada ya tamthilia kwenye Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam, halafu shahada ya pili katika sayansi kwenye Chuo Kikuu cha Bath
(Uingereza).
Waziri Mkuu (2005 - 2008)
Waziri wa Maji na Mifugo (2000 - 2005)
Waziri wa ardhi na makazi (1993 - 1995)
Waziri mdogo wa haki na mambo ya bunge katika ofisi ya Makamu wa Rais (1990-1993)
Mkurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (1989 - 1990)
Waziri mdogo wa mazingira na mapambano dhii ya umasini katika ofisi ya Makamu wa Rais (1988-2000)
Mbunge wa Monduli tangu 1990
Edward Ngoyai Lowassa
Mbunge
Bunge la Tanzania
Jimbo la uchaguzi Monduli (Arusha)
Tarehe ya kuzaliwa 26 Agosti 1953
Chama CCM
Tar. ya kuingia bunge tangu 1990
Alirudishwa mwaka 2005
Waziri Mkuu wa Tanzania
Alingia ofisini 2005
Alitanguliwa na Frederick Sumaye
Dini Mkristo
Elimu yake Chuo Kikuu
Digrii anazoshika MA (Development Studies) University of Bath (Uing.)
Kazi mwanasiasa
Edward Ngoyayi Lowassa (amezaliwa 26 Agosti 1953) ni mwanasiasa nchini Tanzania. Alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa kumi
KUTOKANA NA SIKU HII GRO NZIMA YA LIBENEKE LA KASKAZINI BLOG LINAPENDA KUMATAKIA Mhe. Edward Ngoyai Lowasa maidha marefu yenye heri na baraka Birthday party
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia