MAONYESHO YA NANE NANE YAANZA KWA KASI ARUSHA
mboga zilizopo katika maonyesho ya nane nane katika bustani za JKT Oljoro
Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na mambo aliyoyaona wakati akizindua na kutembelea mabanda ya nane nane
Wakulima wametakiwa kulima kilimo cha kiasi kinachoitajika na chenye
ubora unaoitajika na masoko ili kuweza kunufaisha jamii , kaya pamoja
nakuongeza pato la taifa kupitia kilimo.
Hayo yamebainishwa na mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongella Wakati
akifungua maonyesho ya nane nane kanda ya kaskazini yanayofanyika
katika viwanja vya Taso vilivyopo Njiro ndani ya jiji la Arusha
Alisema kuwa kila mkulima anatakiwa kufuata kanuni bora pamoja na
kutumia mbegu bora ,ufanisi mkubwa ili mazao yao wanayoyalima yawe na
ubora wa kutosha na yanaweza kushindanishwa na mazao mengine kutoka
sehemu zingine ikiwemo nje ya nchi.
Aidha alisema kuwa wananchi wengi wamekuwa wanakuja katika maonyesho
haya ya nane nane wa kiwa na lengo la kutembea na sio kama kama
manaana halisi ya maonyesho haya yanavyomaanisha ku wa maonyesho haya
ni kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali yahusio kilimo na ufugaji.
“katika kipindi hichi napenda kuwasihi wananchi waotembelea maonyesho
haya wasije kama kutembea tu balii waje kujifunza mbinu bora za
ukulima na ufugaji kulingana na mazingira yanavyoruhusu”alisema
Mongella
Alisema kuwa maonyesho haya ni ya msingi na yanaandaliwa kwa ajili ya
kuelimisha jamii nzima wanaotembelea na aliwasihi kila mmoja anaekuja
anatakiwa kutoka na elimu ya kutosha ambapo akienda ukumajumbani kwao
wakatekeleze walioyaona kwani wakitekeleza wataletea faida kaya zao
pamoja na taifa kwa ujumla kwa kuwaongezea kipato.
Alitaja kauli mbiu ya mashindano haya kwa mwaka huu ni zalisha mazao
ya kilimo na mifugo kwa kulenga maitaji ya soko.
Kwa upende wa katibu wa Tasso Peter Ngasamiakwi alisema kuwa zaidi ya
washiriki 340 wamejitokeza kushiriki katika maonyesho haya ambapo kati
yao halmashari mbalimbali zimejitokeza kushiriki kwa wingi.
Aliongeza kuwa mwaka huu ulinzi umeboreshwa zaidi na viingilio
vimepunguzwa zaidi kwani watoto watalipa shilingi 500 huku wakubwa
wakiwa wanalipa shilingi 1000 kwa kila mmoja.
Aidha aliwaatatharisha wamachinga ambao watakuja kufanya biashara zao
huku bila ya kufuata sheria kwani wakifanya hivyo watachukuliwa hatua
kali za kisheria.

0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia