WAFANYABIASHARA WA MADINI WAPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI
bywoinde-
0
MIKASA na matukio ya kutisha dhidi ya wafanyabiashara wa madini,
yameendelea kuibuka kila siku, baada ya jana wafanyabiashara wawili wa
madini aina ya Tanzanite, kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya katikati
ya jiji la Arusha