DIAMOND APAGAWISHA TAMASHA LA KIL TOUR MWANZA

TAMASHA LA KILI MUSIC TOUR 2013 JIJINI MWANZA

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Fleva),Nassib Abdul a.k.a Diamond akiwajibika jukwaani sambamba na madansa wake wakati wa Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na maelfu ya wakazi wa Mwanza na mikoa ya Jirani waliokataa kupitwa na Onyesho hilo kabambe.
Diamond akiwa amenyanyuliwa juu na madansa wake wakati wa Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na maelfu ya wakazi wa Mwanza

Mkali wa Ryms afahamikae kama Joseph Haule au ukipenda waweza muita Profesa Jay wa Mitulinga akiwapagawisha vilivyo wakazi wa Jiji la Mwanza waliofurika kwa wingi ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba kwenye Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na maelfu ya wakazi wa Mwanza


Wanamuziki wakongwe katika medani ya muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee na Joseph Haule au ukipenda waweza muita Profesa Jay wakiburudisha maelfu ya mashabiki wa muziki waliofurika katika Uiwanja wa Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki katika muendelezo wa Maonyesho ya Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013.
Mwanadada nguli katika tasnia ya Muziki hapa nchini, Muite Bint Komando au Lady Jaydee akifanya vitu vyake ndani ya jukwaa moja la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Wakongwe katika medani ya muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee na Joseph Haule a.k.a Profesa Jay wakionyesha uhodari wao kwa kulishambulia jukwaa mbele ya maelfu ya mashabiki wa muziki waliofurika kwa wingi katika Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Mwanamuziki bora wa Hip Hop hapa nchini kwa mwaka 2013, Kala Jeremiah akiwarusha mashabiki wake waliofurika kwa wingi katika Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.

Kala Jeremiah akiendelea kufanya vitu vyake jukwaani.

Msanii Bob Junior akiimba moja ya nyimbo zake wakati wa muendelezo wa awamu ya pili ya Onyesho la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Bob Junior na madansa wake.

Mkali wa Miondoko ya Miduara,AT akiwapagawisha mashabiki wake lukuki ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Mkali wa RnB,Ben Pol akifanya vitu vyake jukwaani.

Roma Mkatoliki akifanya mambo yake jukwaani.
Shangwe tupu zilitawala uwanjani hao.
Fid Q na kamuzi lake likiendelea.
Mkali wa miondoko ya Ragger, Dabo akipigwa tafu na msanii mwenzake,Had Man
Snura Mushi a.k.a Mamaa wa Majanga akionesha umahiri wake mbele ya mashabiki wake wa jiji la Mwanza waliofurika kwa wingi katika Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki, kushuhudia onyesho la Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013.

Othaman Michuzi (shoto) akiwa na Meneja Mauzo wa TBL kanda ya Ziwa,Mdau Erick
Dada Ester na Snuna.
Show love on Back stage.
Toka shoto ni DJ Mafuvu wa EATV,Hellen Kazimoto,Ramadhan (Meneja wa Villa Park jijini Mwanza),Mdimu pamoja na Abdallah Ambua.
Mdau Zeinul Mzige wa MO Blog akishow love na Mwanadada Hellen Kazimoto walipokutana jijini Mwanza.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post