Kamera
yetu ilibahatika kunasa taswira ya basi la kampuni kongwe ya usafiri
Dar es Salaam, UDA likikata mitaa ya Jiji la Arusha. Basi hilo
linadhaniwa lilisafirisha wageni toka dar es Salaam hadi Jijini hapa kwa
ajili ya mikutano mbalimbali inayoendelea hapa.