Mahabusu mahakama ya wilaya arumeru wagoma kushuka wamesema wamechoshwa kwakuzushwa katika kesi zao

mahabusu wa likuwa wanapelekwa katika mahakama ya wilaya ya Arumeru leo wamegoma kushuka kwenye mabasi kwa kitendo cha kusema kuwa wamechoshwa kuzungushwa na kuletwa hahakamani kila siku bila kesi zao kusikilizwa na kutolewa hukumu,mahabusu hao wamesima  kuwa wao wamekaa magereza kwa muda mrefu wengine mwaka mzima na wengine miaka miwili lakini kesi zao hazisikilizwi na wamekuwa wanpigwa tarehe kila siku wanapo pelekwa mahakamani,wameiomba serekali husua ni polisi kufuatilia kitengo cha upelelezi kwa makini kwani wao ndo wamekuwa wakichelewesha kwa madai kuwa upelelezi haujakamilika kila siku zinapozidi kwenda

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post