Msanii
wa muziki wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia kwenye jukwaa la
tamasha la Serengeti Fiesta 2013,usiku huu kwenu uwanja wa Lake
Tanganyika.
Sehemu ya umati wa watu waliofurika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika usiku huu wakiburudika na Wasanii wa Serengeti Fiesta 2013
Burudani ya kutosha kabisa
Hapatoshi ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika usiku huu.
Mwanamuziki
mahiri wa muziki wa Dansi,Christian Bella akikamua jukwaani usiku huu
ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika,mkaoni Kigoma ambapo watu wamefurika
ile mbaya.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Cassim Mganga akiimba jukwaani mbele ya
maelfu ya wakazi wa Kigoma ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika.