+akiapishwa+na+JK.jpg)
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimuapisha Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Habari ,Vijana , Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga (kulia) jana katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimpongeza na kumkabidhi zana za kufanyia kazi Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Rose Shellukindo.
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamunyange.
Pix no9- Rais Jakaya Kikwete (wa sita kutoka kulia mstari wa mbele) akifuatiwa na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal.pamoja na Makatibu Wakuu wapya na Manaibu.