KIUKWELI BORA UFE MASIKINI KULIKU KUTAFUTA ELA KWA NJIA HIIMADAWA YA KULEVYA....ANGALIA UTUMBO UNAVYOBEBA MADAWA HAYO TUMBONI.

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI, kwani hatuna budi kutoa kama FUNDISHO.

Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba.

Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda)  ni hatari sana kwa afya ya Binadamu, kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja  na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.

Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mw
ili.
Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.
Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu.
Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.
Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.
Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana.
Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha.
Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.
Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari .

Jamani watanzania wenzangu utafutaji huu wa pesa una faida gani wakati ukiziacha tu ndugu wanauwana kuzigombea???

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia