Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria Abubakary
Khamis Bakari,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach
Resort nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya
Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,wengine (katikati) Jaji Mkuu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mohamed Chande Othman,na Jaji Mkuu
Zanzibar Omar Othman Makungu.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(kushoto) akisalimiana na Jaji Mkuu Kiongozi Fakih
Jandu,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje
ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na
Majaji wa Afrika Mashariki.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar
Othman Makungu,mara alipowasili katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort
nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na
Majaji wa Afrika Mashariki.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa
Afrika Mashariki,(EAMJA) ulioanza leo katika Hoteli ya Zanzibar Beach
Resort nje ya Mji wa Unguja.

Rais
wa Jumuiya ya (ZAJOA) Zanzibar Jaji Abraham Mwampashi,akitoa hutuba
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji
wa Afrika Mashariki,(EAMJA) unaoendelea kwa siku tatu katika ukumbi wa
Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya Mji wa Unguja.

Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa
Afrika Mashariki,(EAMJA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa
akiufungua Mkutano huo wa siku tanu leo katika Ukumbi wa Hoteliya
Zanzibar Beach Resort iliyopo nje ya Mji wa Unguja.

Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa
Afrika Mashariki,(EAMJA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa
akiufungua Mkutano huo wa siku tanu leo katika Ukumbi wa Hoteliya
Zanzibar Beach Resort iliyopo nje ya Mji wa Unguja.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati) pamoja na Majaji wa Nchi za Afrika Mshariki, wakisimama
wakati wimbo wa Taifa wa Nchi hizo ukipigwa wakati wa ufunguzi wa
Mkutano wa mwaka kwa Nchi hizo,ambao utakchukua siku tatu katika ukumbi
wa Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya Mji wa Unguja.

Baadhi
ya wajumbe wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa
Afrika Mashariki,(EAMJA) wakisimama wakati wimbo wa Taifa wa Nchi hizo
ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka kwa Nchi hizo,ambao
utakchukua siku tatu katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort
Hotel,iliyopo nje ya Mji wa Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]