Haruna Moshi 'Boban' akituliza mpira mbele ya wachezaji wawili wa Oljoro.
Haruna Moshi Boban leo alivutia watu wengi kutokana na style yake ya kucheza.
Kikosi cha hiki kilichoanza dhidi ya Oljoro JKT.
KATIKA MECHI HII TIMU YA COAST ILIWEZA KUSHINDA MARA BAADA YA KUIFUNGA TIMU YA JKT OLJORO MABAO 2-0 LEO WAJESHI WANAUMANA VIKALI NA ATIMU YA SIMBA KATIKA KIWANJA CHA SHEIKH AMRI ABEID AMBAPO HADI SASA MECHI IMEKWISHA ANZA