EBWANA EEH APA WATU WAKIENDELA KUNJWA POMBE YA GESODA KUTOKA HANANG'
bywoinde-
0
jamii ya kibasodeshi wa kata ya bossotu
wilayani Hanang' wakiwa kwenye picha ya mamoja wakinywa pombe yao ya
heshima ya kienyeji maarufu kama gesoda inayotengenezwa kwa asali na
mizizi ya aloevera.