BREKING NEWSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS



WAANDISHI WA HABARI WALIOKUWA KATIKA ZIARA YA WASHIRIKI WA MKUTANO  WA SADIC ULIOKUWA UNAENDELEA MKOANI ARUSHA WAPATA AJALI



KWA MUJIBU WA CHANZO CHA HABARI ALIYEKUWEPO ENEO LA TUKIO AMESEMA KUWA  HAKUNA MUANDISHI HATA MMOJA ALIYEPOTEZA MAISHA BALI NI MAJERUHI TU  

BLOG YAKO YA LIBENEKE INAENDELEA KUFATILIA NA ITAENDELEA KUKUPA TAARIFA ZAIDI ZINAZOENDELEA


About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia