MBIO ZA SAFARI MARATHON ZAFANA ARUSHA

Mashindano ya riadha kwa hatua mbalimbali yaliyopewa jina la Safari Marathon yamefanyika hii leo Jijini hapa kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa mchezo huo kutoa ndani na nje ya nchi. Mbizo hizo zilizikuwa na vituo tofauti kulingana na umbali husika katika mitaa tofauti ya Jiji la Arusha mpa amaeneo ya Njiro/Themi relini kwa mbio ndefu.








About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia