WAZIRI SAMWEL SITTA AFUNGUAKA MAZISHI YA DC WA URAMBO


Waziri  wa  ushirikiano wa Afrika mashariki  Bw  Samwel Sitta kulia akisalimiana na  viongozi mbali mbali mjini Iringa katika makaburi ya Mlolo mjini hapa ,katikati ni DC Kilolo Gelard Guninita , Mwenyekiti  wa CCM Kilolo Sety Mwamoto na mchungaji Kiwanga 
Mkuu  wa mkoa  wa Mbeya  Abas Kandoro kushoto akiwa na kamanda  wa polisi mkoa wa Iringa Bw Ramadhan Mungi eneo la makaburi ya mlolo katika mazishi ya aliyekuwa DC wilaya ya Urambo Anna Magoha

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia