mfanyabiashara
wa maaru wa madini ya Tanzanite ambeye pia ni mmiliki wa hotel ya
kitali ya S.G Resort ya jijini arusha Erasto Msuya amefariki dunia leo majira ya alasiri wakati alipokuwa akitokea porini kuelekea mjini.kwa mujibu wa taarifa ambazo libeneke limezipata mara baada ya tukio hilo zinasema kuwa mfanyabiashara huyo alipigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi mara baada ya majibizano ya risasi yaliyotokea maeneo ya barabara ya kia. Kwa habari zaidi endelea kufuatilia libeneke la
kaskazini tutaendelea kuwajuza nini kinaendelea
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
RELATED POSTS
0
Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia