Ben Pol |
Star wa
muziki wa R&B hapa Bongo, Ben Pol ametoa ya moyoni kuwa kwa namna
flani, ngoma yake mpya ya SOPHIA ni rekodi ambayo ameifanya maalum
kwaajili ya mtu wake wa karibu sana.
Pol amesema kuwa mambo yakifanikiwa kuwa rasmi atamuweka wazi kwa watanzania ili wajue.
Ben
ambaye katika ngoma hii ndani yake pia ameelezea uzuri wa mji wa Dodoma
ambapo ndipo anapotokea, amesema kuwa ana imani mambo yatakuwa vizuri
hapo baadaye kwaajili ya kumleta mwanadada huyo mbele ya mashabiki zake,
ikiwa sasa mambo yao yanaendelea chini ya kapeti t