wa kwanza kushoto ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akibadilishana mawazo na RTO wa mkoa wa Tanga Sp Issango pamoja na Oc Traffic wa korogwe INSpector Nyalifa wakati alipotembelea mkoa huo leo na kukutana na waendesha boda boda wa wilaya ya Korogwe katika kikao kilichoandaliwa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na Sumatra .
waendesha boda boda wa wilayani korogwe wakiwa wanamsikiliza kwa makini kamanda mpinga |