Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akiwaonyesha wananchi wa kijiji
cha Sanya Stesheni Rejesta ya wakazi kama moja ya vitendea kazi vya
wenyeviti wa vitongoji
Mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga akiwasalimia wananchi wa kijiji
cha Sanya Stesheni baada ya kumkabidhi rungu kama ishara ya uongozi
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akimkabidhi rejesta ya wakazi
mmoja ya wenyeviti wa kitongoji katika kijiji cha Sanya Stesheni
Mmoja ya wazee wa kabila la Wamaasai akimtawaza Mkuu wa wilaya ya
Hai,Novatus Makunga kwa miongoni mwa viongozi wa jamii hiyo maarufu kama
Laigwanan kwa kumkabidhi rungu.
Ofisa tawala wa wilaya ya Hai akikamkabidhi nakala ya taratibu za kazi
za kamati za kudumu za halmashauri ya kijiji cha Sanya Stesheni mmoja
kati ya wenyeviti wa kamati hizo
Ofisa mtendaji wa kijiji cha Sanya Stesheni,Edes Mtenga akisoma risala
ya wananchi wa kijiji cha Sanya Stesheni kwa mkuu wa wilaya ya
Hai,Novatus Makunga