Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la ‘Chamber Squad’, Moses
Bushagama ‘Mez B’, amefariki dunia leo asubuhi huko Mkoani Dodoma baada
ya kusumbuliwa na Homa ya mapafu kwa muda mrefu.
MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA MOSES BUSHANGAMA "MEZ B"AFARIKI DUNIA LEO
bywoinde
-
0