--
Mawenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisimama
kikakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kwenye kilele cha sherehe za
miaka 38 ya CCM katika uwanja wa Majimaji mjini Songea ziliziopambwa
vilivyo na chipukizi wa Umoja wa Vijana wa CCM
(UVCCM)
Chipukizi wa UVCCM wakipia saluti huku wakiimba
wimbo wa Taifa
Saluti kwa wimbo wa Taifa
Bendi ya Chipukizi kutoka Zanzibar ikipiga wimbo wa
Taifa
Rais Kikwete akikagua gwaride la chipukizi wa
UVCCM
Kamanda wa gwaride la chioukizi wa UVCCM akimshukuru
Rais Kikwete kwa ukaguzi
Chipukizi wakakamavu wa UVCCM Songea wakiwa kazini huku
wakishangiliwa
Wanahabari wakirekodi tukio zima
Gwaride la chipukizi wa UVCCM
songea
Gwaride likijiandaa kwa mwenzo wa
pole
Kikosi cha Bendera
Chipukizi wa UVCCM Songea wakionesha ukakamavu wa hali
ya juu
Nidhamu na ukakamavu
Gwaride likipita mbele ya jukwaa
kuu
Meza kuu ikipokea gwaride kwa
furaha
Rais Kikwete akionekana kufurahishwa na gwaride la
chioukizi wa UVCCM Songea
Sehemu ya maelfu ya wananchi wa
Songea
Gwaride kazini
Ukakamavu na nidhamu
Heshima kulia
Hakuna mchezo hapa
Kiapo cha utii baada ya hatua 15
mbele
Kikosi cha "makomandoo" wavulana
Kikosi cha "makomandoo" wasichana
Sanaa ya kujilinda kwa mikono
mitupu
Kamanda msaidizi akitoa amri
Makamanda wa gwaride
Wapiganaji wa TBC One wakirusha live tukio
zima
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Dkt John Nchimbi
akisema machache
Sehemu ya wageni kutoka mikoa yote
Wageni kutoka chama tawala cha Uganda wakiteta
jambo
Sehemu ya waalikwa kutoka mikoa
yote
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akiongea na
umati
Mwakilishi wa cha tawala cha Uganda akisema
machache
Sehemu ya jukwaa kuu ikishangilia
Makamu Mwenkeyikiti wa chama tawala cha Uganda
akisalimia
Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete akicheza kwa furaha
jukwaa kuu
CCM Oye!
Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete akihutubia umati wa
wananachi
Rais Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa CCM Songea kwa
maandalizi mazuri
Sehemu ya maelfu ya wananchi
Rais Kikwete akiendelea na hotuba
Nyomi
Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete akigawa kadi kwa
wanachama wapya akiwa na Mbunge wa Songea Mjini Dkt Emmanuel Nchimbi
na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana

Msanii Diamond na kundi lake la Wasafi
wakitumbuiza
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Bernad Membe akiongea na Naibu Waziri wa Fedha Mhe Mwigulu
Nchemba
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana na Katibu
Mwenezi na Itikadi Ndg Nape Nnauye wakisalimia
umati
Diamond na kundi lake wakitumbuiza
Diamond na Abddul Misambano na kikundi cha TOT
wakitumbuiza