Ofisa Mkuu kutoka
taasisi ya Uandishi wa Habari na
Utangazaji EABMT Rosemary Mwakitwange akifafanua
jambo katika Mdahalo juu ya uchaguzi mkuu ujao kuhakikisha haki na amani
inatawala,mdahalo huo ulishirikisha wanasiasa kutoka vyama vya siasa CHADEMA,CCM,CUF,NCCR
na vingine pamoja na taasisi binafsi na viongozi wa kiserikali,mdahalo huo umeandaliwa na shirika la TWAWEZA umefanyika
jana jijini Arusha
Washiriki wa
Mdahalo juu ya uchaguzi mkuu ujao kuhakikisha haki na amani inatawala
wakifuatilia kwa makini mdahalo huo ulishirikisha wanasiasa kutoka vyama vya
siasa CHADEMA,CCM,CUF,NCCR na vingine pamoja na taasisi binafsi na viongozi wa
kiserikali,mdahalo huo umeandaliwa na
shirika la TWAWEZA umefanyika jana jijini Arusha.Picha na mahmoud ahmad wa libeneke la kaskazini blog