Wasanii
wanaotaka kushiriki katika katamasha la kongamano la wasanii wa
Tanzania na afrika mashariki linalotarajiwa kufanyika mjini
Kolon,Ujermani mwezi April 2015 mnaombwa mjiandikishe kwa kuwasiliana
katika namba ya simu +49(0)15778645623 .Tamasha
hili linania ya kutangaza sanaa za maonyesho za Tanzania nchini
ujerumani,wasanii wa ngoma za asili,Sarakasi,Maigizo, Muziki n.k
mnakaribishwa kujiandikisha kushiriki Tamasha hili ,Wasanii mnaombwa
mtumie nafasi hii kuonyesha vipaji vyenu
katika uwanja wa kimataifa ili kujitangaza zaidi.
Ushiriki wenu katika tamasha hili ndio dira ya ukombozi kwa wasanii wote!
Maelezo zaidi piga simu +49(0)15778645623
Tamasha litafanyika mjini Koloni,Ujerumani April 2015