KWA HABARI zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa msanii muigizaji ambaye anatambulika kwa jina la John Stephano amefariki dunia asubui ya kuamkia leo akiwa amelazwa katika hospitali ya muhimbili kwa ajili ya matibabu
msanii huyu ameshaigiza filamu mbalimbali ikiwemo ya mrembo kikojozi pamoja na nyingine nyingi
kwa taharifa zaidi tutawajuza baadae