RAIS KIKWETE AKAGUA SHAMBA LA ZABIBU


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua shamba la mfano la kilimo cjha zabibu la  SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo hutumia umwagiliaji wa matone ChamwinoMkoaniDodoma leo Novemba 15, 2012 akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe  FatmaSaidi na Mbunge wa Mtera Mhe. Lusinde

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post