picha ikiionyesha mbunge wa jimbo la kawe Halima mdee akiwa anadaka
mpira wakati wa mechi baina yao na timu ya wanafunzi wa chuo cha arusha
tekniko leo katika uwanja wa sheikh amri abeid jijini hapa mechi
iliyochezwa na timu ya mpira wa pete ya bunge ilitoka kwa kufunga mabao
24-13
wadau wa timu ya bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania