Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteakionesha cheki ya Shilingi bilioni Nane
iliyotolewa na Kampuni ya VODACOM kwa ajili ya ujenzi wa hospitali
maalumu itakayo shughulika kutibu wanawake walioathirika na Ugonjwa wa
Fistula pamoja na ulemavu mwingine.Wengine katika picha kutoka kushoto
ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe.Janet Mbene,Mkurugenzi Mtendaji VODACOM
Tanzania Bwana Rene Meza,Ofisa mtendaji Mkuu Hospitali ya CCBRT Bwana
Telemans Erwin na kulia ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said
Meck Sadik(picha na Freddy Maro ikulu)