KILIMANJARO STAR WAJINOA KWA TUSKER CHALLENGE CUP INAYOTARAJIWA KUANZA JUMAMOSI JIJINI KAMPALA.





Wachezaji wa Kilimanajro Stars inayoiwakilisha Tanzania Bara wakiwa mazoezini katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Kombe la Tusker CECAFA Challenge yanayotarajiwa kuanza Jijini Kampala, Uganda Jumamosi hii. Timu hii inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post