Mwaka mmoja haujaisha, bado mioyo ya watanzania wapenda burudani ikiwa
bado njia panda ikitafakali yaliyokwisha kutokea, kukutwa na matukio
magumu ya kihistoria kuikumba sanaa ta Tanzania.
Nasikitika kusema Sharo Milione hatunae kwasasa, baada ya kupata ajali ya gari mkoani Tanga wakati akitokea Dar es salaam akiwa mwenyewe ndani ya gari. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Tanga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na mwili wa marehemu uko mochwali mkoani Tanga.
Ushuda wa Majonzi: Mara ya mwisho Anna Peter wa East Africa Radio Alhamis iliyopita alifanya nae mahojiano na hivi ndivyo alivyoeleza jinsi alivyoghubikwa na majonzi.....

"Wiki hata haijapita alifanya Interview yake ya kwanza na ya
mwisho East Africa Radio, kama ulisikiliza
utakumbuka nilimtania marehemu Sharomilionea kuwa mimi na yeye tuna historia
yetu ambayo watu wengi hawajui....
Tulifanya nae movie ya 'Kimela' mwaka 2006 na yeye alikuwa
anashika boom mic ana akawa anapenda kuwa karibu na mimi coz alikua anajua mimi
mtangazaji(kipindi hicho Times Fm).
Alikuwa akinambia
Dada Anna mimi napenda kuimba,napenda kutangaza na iko siku nitatoka.
Tangu mwaka 2006 kwa mara ya kwanza Alhamisi tarehe 22 ndo
nilifanya nae interview ya kwanza na yeye tho alishanipigia simu kama mara 2 akitaka interview na akinikumbusha kuwa tuliwahi
kuonana, but mimi nikawa sina kumbukumbu mpaka tulipokuja kuonana Ana kwa ana.
Tulivyoanana Akanikumbusha kuwa Dada Anna uliwahi kusema
utanisaidia, na kweli umethibitisha maneno yakoo.....Nataka kujaribu kukumbuka
tulivyozungumza kwenye ile interview but siwezii ....#RIP kweli kifo hakichagui
mtu......Poleni ndugu jamaa na marafiki pia".