ZANZIBAR YATIA SAINI KUITANGAZA KARAFUU KATIKA SOKO LA DUNIA


  Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Mazrui, akizungumza wakati wa utiaji wa Saini wa kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika soko la Dunia uliofanuika katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar, kushoto Mwakilishi wa WIPO Neema Nyrerere na Mwakilishi wa ITC Jacky Charbounneau.


  Mwakilishi wa WIPO Neema Nyerere akizungumza wakati wa utilianaji wa saini hiyo wakati akiiwakilisha WIPO kusimamiaa kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika Soko la Dunia,wkati wa utiaji wa saini hiyo iliosainia na Waziri wa Biashara kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar.
  Waziri wa Biashara Nassor Mazrui akibadilishana mikataba na Mwakilishi wa ITC jACKY Charbounneau,baada ya kusaini makabaliano hayo yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi.

 Waziri wa Biashara Masoko na Viwanda Nassor Mazrui, akisaini kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika soko la Dunia,
Mwakilishi wa ITC Jacky Charbounneau, akizungumza wakati wa utilianaji wa saini hiyo wakati akiiwakilisha ITC kusimamiaa kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika Soko la Dunia,wkati wa utiaji wa saini hiyo iliosainia na Waziri wa Biashara kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. 
 
 

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post