Wafanyakazi wa TRA wakiwa katika maandamano kuelekea katika uwanja wa makumbusho sehemu ambayo kilele cha wiki ya mlipa kodi kwa mkoa wa Arusha ilifanyikia hapo
wapiga tarumbeta
Mkurugenzi wa ngorongoro creter lodge akiwa anapokea zawadi mara baada ya kuibuka mshindi wa kanda ya kaskazini pamoja na mkoa kwa kulipa kodi kwa wakati
Wafanyakazi wa mkoa wa Arusha wa malaka ya mapato Tanzania (TRA)wakiwa katika maazimisho hayo
waandishi wa habari waandamizi wakiwa katika sherehe za mliapa kodi zilizofanyika katika kiwanja cha jengo la makumbusho jijini hapa