TEA YAKUSANYA MILINI 5O KATIKA MATEMBEZI YA HISANI DAR ES SALAAM


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu (katikati) akiongoza matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafuzi wa kike. Kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Rosemary Lulabuka (kulia) na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dk. Naomi Katunzi. (Picha na Habari Mseto Blog)
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongo wakishiriki katika matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa mambweni ya wasichana yaliyoanzania Mlimani City na kuishia katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana. Jumla ya sh. milioni 50 ikiwa ni pamoja na ahadi zilipatikana.


Matembezi yakiwa yameshika kasi


Baadhi ya wadau walioshiriki matembezi hayo.


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Rosemary Lulabuka

Balozi wa kampeni ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wasichana

Balozi wa kampeni ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wasichana

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu

Naibu Waziri wa Maliasilia na Utalii, Lazaro Nyarandu akiwa na mke wake ambaye pia ni balozi wa kampeni ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wasichani, Faraja Nyarandu ambapo alichangia sh. milioni 10 kwa ajili ya kusadia ujenzi ya wasichana
Naibu Waziri wa Maliasilia na Utalii, Lazaro Nyarandu akipeana mkono na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dk. Naomi Katunzi baada ya kuchangia sh. milioni 10


Michango ikiendelea kukusanywa kwa njia ya mitandao

Wadau wakiselebuka

Barnabas Elius akitumbuiza wakati wa hafla ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike

Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Baobab (katikati) akiimba pamoja na wanamuziki wa bendi ya THT wakati wa matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike yaliyoanzia Mlimani City na kumalizikia katika viwanja vya Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam.

Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Baobab, Khadija Nuru akisoma risala kwa niaba ya wanafunzi wenzake ambao walichangia kiasi cha sh. milioni 1

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post