Viongozi mbalimbali wachama cha Mapinduzi wakiwa katika Mapokezi ya
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM huko katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Aman Karume Zanzibar
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa
Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama hicho na Wananchi
mbalimbali waliokwenda kumpokea hapo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman
Karume Zanzibar.
Msafara wa Wapanda Pikipiki wa Chama cha Mapinduzi ukiwa mbele katika
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa
Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein ukitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman
Karume Zanzibar.
Msafara wa Wapanda Pikipiki wa Chama cha Mapinduzi ukiwa mbele katika
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa
Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein ukitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman
Karume Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa
Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein akiwapungia Mkono Wananchi na Wanachama wa Chama cha
Mapinduzi akitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Zanzibar.
Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM)wakitembea kwa Miguu
hadi Makao Makuu ya Chama hicho Kisiwa Ndui Zanzibar.ikiwa ni Moja ya Shamra
shamra za Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia
ni Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein.
Kijana Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi Pili Hassan Suluhu akimvisha
Skaf Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa
Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein mara baada ya kufika katika Makao Makuu ya Chama
hicho Kisiwa Ndui Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa
Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein (watatu kulia)akijumuika na Viongozi mbalimbali wa
Dini na Chama katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid
Amaan Karume ili kumuombea Dua Rais huyo mara baada ya kufika katika Makao
Makuu ya Chama hicho Kisiwa Ndui Zanzibar.
Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM)wakisikiliza Hotuba ya Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar Dk,Ali
Mohd Shein hayupo pichani mara baada ya kufika katika Makao Makuu ya Chama
hicho Kisiwa Ndui Zanzibar.
Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM)wakisikiliza Hotuba
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa
Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein akitoa hotuba kwa Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
waliofika Mkao Makuu ya Chama ili Kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake huko Dodoma
na kumtakia kheri katika Kuiongoza Zanzibar.