baadhi ya washabiki wa klabu ya Simba wakiwa na mabango yao yenye ujumbe wa kuwataka viongozi na wachezaji wachie ngazi wanachama hao pamoja na mashabiki wa klabu hiyo walikusanyika leo klabuni mtaa wa Msimba jijini dar es salaam wakidai baada ya kupata kipigo cha kwanza kutoka kwa timu ya Mtibwa ya morogoro jana kwa bao 2-0 huku wakidai tulikuwa tunaongoza ligi na mpinzani wetu tulimuacha mbali lakini leo anaongoza ligi hivi kweli sawa