Msanii wa muziki wa Bongo Flavour kutoka Tanzania Diamond Platnumz
amekuwa akiongoza katika upigari kura wa kuwania tuzo za Muziki wa
Televisheni ya Watu Weusi Marekani (Black Entertainment Television-BET)
katika kipengele cha Best International Act: Africa.
Tuzo hizo zitatolewa jijini Los Angeles, Marekani Juni 29.
Mpaka jioni hii Diamond alikuwa anaongoza kwa asilimia 75.79.