Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akionyesha funguo ya
moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh.
milioni 350, baada ya kupokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya
Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi (kulia) wakati wa hafla ya
makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro
wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji
dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt
Bilal, jana limemalizika leo Mei 10, 2014.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti
wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Abdulkarim Shah. Picha na
Sufianimafoto.com
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akijaribu kuwasha
moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh.
milioni 350, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi
Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano
hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa
Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya
Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana
limemalizika leo Mei 10, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya
Ardhi, Maliasili na Mazingira, Abdulkarim Shah. Picha na
Sufianimafoto.com
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akisainiana mkataba wa
makabidhiano wa magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni
350, na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi
(wa
pili kushoto) wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo
kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya
kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo
lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo Mei
10, 2014. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhri, Job Ndugai (kulia)
ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa.Picha na
Sufianimafoto.com
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili
na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo, wakiwa katika Kongamano hilo,
lililomalizika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar Es
salaam.Picha na Sufianimafoto.com
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, akichangia mada wakati wa
Kongamano hilo, lililomalizika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,
jijini Dar es Salaam. Picha na Sufianimafoto.com
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano hayo.