Mlipuko kadhaa imetokea mjini Mombasa nchini Kenya, ambapo imedaiwa walipuaji wamelipua sehemu tatu tofauti.
Akizungumza
kutoa taarifa za tukio hilo Kamishna wa kaunti ya mombasa Nelson Marwa,
amesema kuwa waliotekeleza shambulizi hilo huenda wametoroka wakitumia
piki piki.
Aidha
amesema kuwa watu 3 wamefariki kutokana shambulizi hilo la guruneti,
huku mlipuko mwingine ukishuhudiwa katika eneo la Nyali Reef, lakini
hakuna majeruhi.
Ikumbukwe
kuwa shambulizi hili linajiri siku chache tu baada ya mlipuko mwingine
kushuhudiwa jijini Nairobi katika kituo cha polisi cha Pangani ambapo
watu 4 wakiwemo maafisa 2 wa polisi walifariki.
Msemaji huyo amesema kuwa maafisa wa polisi tayari wameanza kuwasaka washukiwa wa matukio hayo.
Repoti kutoka Shirika la Msalaba mwekundu, inasema kuwa waliofariki ni watu watstu akiwamo mwanamke mmoja na wanaume wawili.
Wwalijeruhiwa
25,kwa sasa waliojeruhiwa wanaendelea na matibabu ikiwa ni pamoja na
xray na ukaguzi mwengne.vioñgozi wa kaunti wa msa wamefika.
Majeruhi wakipatiwa matibabu.
Ads by OnlineBrowserAdvertisingAd Options
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wakiwa eneo la tukio.
Majeruhi.....akihudumiwa.
Majeruhi....
Ads by OnlineBrowserAdvertisingAd Options
Majeruhi...
Mmoja kati ya watu waliopoteza maisha katika tukio hilo.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia