
Basi la kampuni ya Dar Express lenye
namba za usajili T580 CEP limepata ajali asubuhi hii karibu na maeneo ya
mto wami, mkoa wa Pwani.

Mmoja wa majeruhi akiwa hajui la kufanya baada ya basi hilo alilokuwa akisafiria kupata ajali leo asubuhi.

Blogu hii inawapa pole majeruhi wote na kuwatakia nafuu ya haraka.