Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark
aliyemtembelea leo Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya ukumbusho na na Mkuu wa
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark na
ujumbe wake aliyemtembelea leo Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam
Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza baada ya mazungumzo Mkuu wa Shirika
la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark
aliyemtembelea leo Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam