Kundi la mwisho la watalii wa ndani wakiwa katika uwanda wa Shira wakielekea katika eneo maarufu kama Kanisani yaani Shira Cathedral. |
Watalii wa ndani wakipewa maelekezo ya vifaa mbalimbali yakiwemo mavazi yanayotumika kupandia mlima. |
Watalii wa ndani wakaianza safari ya kuelekea Kanisani Shira Cathedral. |
Baada ya kupanda Kilima kimojawapo watalii wakafika wakiwa hoi. |
Waliofanikiwa kufika wakapata mapumziko huku wakiangalia mandhari nzuri ya mlima Kilimanjaro. |
Licha ya kufika akiwa hoi bado mtalii huyu wa ndani, Mwandishi wa Habari Leo, Nakajumo James, alionesha uzalendo kwa nchi yake. |
Tumefanikiwa kufika kilele cha kwanza kwa mapumziko kidogo. |
Safari ya kufika kanisani ilipo karibia kila mmoja alibeba jiwe dogo ka ajili ya kuweka kumbukumbu. |
Waliokuwa na nguvu wakafika mapema kileleni kuwahi ibada ya kwanza. |
Waliochelewa wakapicshana na waliowahi ibada ya kwanza wao wakaenda kwa ajili ya ibada ya pili. |