Ticker

6/recent/ticker-posts

KIVUKO CHA MNEPO CHA KIYUNGI CHATEMBELEWA NA MKUU WA WILAYA YA HAI

 Mwanamama akivuka katika kivuko cha mnepo cha Kiyungi
 Viongozi na wataalamu wakijadili jinsi ya kuimarisha kivuko cha Mnepo cha Kiyungi

Diwani wa kata ya Machame Weruweru Adris Mandrai akipita katika kivuko cha mnepo cha Kiyungi
Mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga wa pili kutoka mbele akiwa na Afisa mtendaji mkuu wa kiwanda cha TPC,,Jaffari Ally(Mbele) na diwani wa kata ya Machame Weruweru,Adris Mandrai baada ya kukagua daraja la Mnepo la Kiyungi.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga ametembelea kivuko cha Kiyungi kinachofahamika kama daraja la Mnepo kinachounganisha wilaya ya Hai na Moshi ambacho sasa hivi kipo katika hali mbaya zaidi kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kuahidi kitaanza kufanyiwa ukarabati wa dhararu Jumamosi ijayo angalau kiweze kutumika wakati zinasubiriwa fedha za ujenzi wa kivuko kipya.Ameeleza kuwa kampuni ya Sukari ya TPC imekubali kutoa baadhi ya vifaa vya ukarabati.

Post a Comment

0 Comments