Maandamano ya wafanyakazi yakiingia Uwanja wa Uhuru na kupokelewa na Rais Kikwete
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili Uwanja wa Uhuru
Rais Kikwete akiwapungia Wafanyakazi
Rais Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana
Mkurugenzi mkuu wa SSRA Bi. Irene Kisaka akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa OSHA Dk Akwilina Kayumba (shoto) , Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt Ramadhani Dau na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio
Rais Kikwete na viongozi wengine wakipokea maandamano ya wafanyakazi