Meneja
wa Mikopo ya Nyumba kutoka Benki ya CRDB, Silas Katemi akitoa mada
wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam,
mwishoni mwa wiki.
Meneja
Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru akizungumza wakati wa
mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa
wiki.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Nasiwa Solomon akizungumza wakati wa mkutano huo.
Meneja
Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB,
Lucy Naivasha akizungumza wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la
Wafanyakazi wa
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini
Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki, ambapo Benki ya CRDB ilitoa mada mbalimbali
kuhusiana na huduma wanazotoa ikiwemo Huduma ya Kutuma Fedha kwa
watanzania waliopo nje ya nchi kupitia akaunti ya Tanzanite pamoja na
Mikopo ya Nyumba.
Meneja
wa Premier Banking, Joyce Ishemoi akizungumza wakati wa Mkutano wa nane
wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Meneja Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB,
Lucy Naivasha akitoa mada wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki.
Meneja
Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB, Lucy Naivasha akitoa
mada kuhusu akaunti hiyo ambayo ni kwa ajili ya Watanzania walio nje ya
nchi kutuma fedha nyumbani kwa kutumia akaunti hiyo, wakati wa Mkutano
wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa
wiki.
Mkurugenzi
wa Mashariki ya Kati kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Balozi, Simba Yahaya akizungumza wakati wa Mkutano wa nane wa
Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa
wiki.
Meneja
wa Premier Banking, Joyce Ishemoi akigawa vipeperushi vyenye taarifa za
huduma za Benki ya CRDB wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Washiriki
wa mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa wakisoma vipeperushi vya Benki ya CRDB
wakati wa mkutano huo.
Washiriki
wa mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakipata maelezo ya huduma mbalimbali za
kibenki kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakipata maelezo ya huduma mbalimbali za
kibenki kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru.