WAFANYAKAZI UHAMIAJI KILIMANJARO WATAKIWA KUBAKI NJIA KUU


Jengo la Chuo cha uhamiaji mjini Moshi.
Mkuu wa idara ya uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johannes Msumule akizungumza wakati wa semina kwa wafanyakazi wa idara hiyo juu ya maambukizi ya Ukimwi na Virusi vya Ukimwi,semina iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha uhamiaji mjini  Moshi.
Mgeni rasmi katika semina hiyo ambaye ni mwakilishi wa TACAIDS mkoa wa Kilimanjaro Razia Ngaina akizungumza na watumishi wa idara ya uhamiaji(hawako pichani) wakati wa semina juu ya maambuzi ya virusi vya Ukimwi na Ukimwi iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha uhamiaji mjini Moshi.
Katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro Nakajumo James akizungumza jambo mara baada ya kutakiwa kutoa neno kwa niaba ya waandishi walioshiriki semina hiyo.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post