Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mfanyabishara
maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote alipokutana naye jijini Abuja,
Nigeria, pembeni mwa Mkutano wa Dunia wa Uchumi kwa Afrika.
Alhaj Dangote ni mwekezaji mashuhuri duniani na hivi sasa anajenga
kiwanda kikubwa cha saruji mkoani Mtwara.
Mfanyabishara maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote akisalimiana na
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Bi. Juliet
Kairuki wakati Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana kwa mazungumzo
na mfanyabishara huyo maarufu wa Nigeria jijini Abuja, Nigeria, pembeni mwa Mkutano wa Dunia wa Uchumi kwa Afrika.
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono baada ya mazungumzo na
mfanyabishara maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote alipokutana naye
jijini Abuja