HATIMAYE MWILI WA MSANII RACHEL HAULE WAAGWA LEO JIJINI DAR
bywoinde-
0
Mwili
wa muigizaji wa filamu nchini Rachel Haule umeagwa leo hii katika
viwanja vya Leaders na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya
Kinondoni. Wasanii wengi ndugu, jamaa na marafiki wamejawa katika
simanzi kubwa huku Irene Uwoya akizimia pengine kwa mshituko wa
kuondokewa na msanii mwenzao. Angalia picha zikionyesha matukio ya mwili
wa Rachel tangu akitolewa Muhimbili, kupelekwa Sinza na
Leaders..........