KUELEKEA MKUTANO MKUU WA CRDB WANAHISANI WAPEWA SEMINA
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akizungumza katika semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB ikiwa ni utangulizi wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa utakaofanyika kesho (Mei 10) jijini Arusha.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia