KATIBU mkuu wa CHADEMA AKIWA ANAUTUBIA WANANCHI WAKATI wa mkutano wa Ukawa jijini Arusha
machifu kutoka mwanza wakiwa katika picha ya pamoja wakijadiliana mambo mbalimbali wakati walivyokuwa kwenye maonyesho jijini arusha
wachaga nao wamo wakicheza ngoma ya kichaga
viongozi wa ukawa wakiwa katika mkutano wa ukawa jijini Arusha
nikiwa na wadau wa libeneke ndani ya uwanja wa sheikh Amri Abeidi kwenye maonyesho ya mtu kwao
nikiwa na mtangazaji wa radio 5 matungilo
mdada wa libeneke la kaskazini nikibadilishana mawazo na chifu